Katikati ni mwenyekiti wa jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania Bw,Johnson Minja kushoto ni mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabishara mkoa wa mbeya Bw, Charles Syonga. Baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa mbeya wakiwa katika kikao hicho na viongozi ha… Read more »
MADEREVA MKOANI MBEYA WAMETAKIWA KUACHA VITENDO VYA ULEVI PINDI WANAPOKUWA BARABARANI HASA NYAKATI HIZI ZA SIKUKUU ZA SHRISMAS NA MWAKA MPYA.
Mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa mbeya, Allan Mwaigaga akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti huyo wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa mbeya. Mwenyekiti wa kamat… Read more »
MADEREVA WAMETAKIWA KUACHA ULEVI PINDI WAWAPO BARABARANI HASA KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUELEKEA SIKUKU YA SHRISMAS NA MWAKA MPYA.
Mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa Mbeya Allan Mwaigaga akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake. kuhusu ajali zinazoendelea kutokea hapa nchini. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza mwenyekiti wa kamati ya usalama baraba… Read more »
SERIKALI KUPITIA IDARA YA AFYA MBEYA YATOA SH. 4000000/= KWA AJILI YA UJENZI WA ZAHANATI
Normal 0 21 false false false SW X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4
CHADEMA YAWATAKA WANANCHI KUCHAGUA CHAMA KINACHOWEZA KUWAWAJIBISHA VIONGOZI WAKE AMBAO SI WAADILIFU.
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo Mbeya mjini John Mwambigija aliyesimama katikati aliyevaa kofia upande wa kulia ni Samweli Ndoni Mwandishi wa habari wa Highlands fm Baadhi ya wananchi waliokuwa wakimsikiliza mwenyekitti huyo kwa wak… Read more »
TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA ________ KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) _________________ TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI … Read more »