WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zitakazonufaika katika masuala ya uwekezaji nchini endapo itatekeleza kikamilifu Mapitio ya Mfumo wa Uwekezaji yaliyowasilishwa na Taasisi ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo (OE… Read more »
POLISI WAONYA WANAOJICHUKULIA SHERIA MKONONI
Kufuatia kuwepo kwa vitendo vya kujichukulia sheria mkononi kunakosababishwa na imani za kishirikina, Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkakati maalumu wa kukabiliana na vitendo hivyo.Akiongea na Waandishi wa habari katika mahojiano maalumu, Msemaj… Read more »
WATAALAMU KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI WAENDELEA KUWAPIGA MSASA WACHIMBAJI WADOGO JUU YA UCHIMBAJI BORA WA MADINI HUKO TUNDURU, RUVUMA
Kamishna Msaidizi- Uendelezaji wa Uchimbaji Mdogo, Mhandisi Fredy Mahobe kutoka Wizara ya Nishati na Madini akifafanua taratibu za kupata mikopo kwa wachimbaji wadogo. Mhandisi Heri Issa kutoka Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) akionesha jinsi … Read more »
WAZIRI MKUU WA FINLAND ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA TAIFA ZANZIBAR (SUZA) KEMPASI YA VUGA
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Rashid Seif Suleiman akimkaribisha Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen alipkutana na uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kempasi ya Vuga alipofanya ziara ya … Read more »
TBL YAPONGEZWA KWA KUJENGA MRADI WA MAJI KITUO CHA AFYA TUNDUMA.
Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya TBL, Doris Malulu, wa pili toka mwisho wakati akikagua mradi wa uchimbaji wa Kisima cha Maji uliofadhiliwa na Kampuni ya TBL katika kituo cha Afya cha Tunduma kilichopo Wilayani Momba Mkoa wa Mbeya. Afisa … Read more »
SHIRIKA la IMARISHA LINALOFADHILIWA NA WATU WA MAREKANI LIMETOA MSAADA WA VYOMBO VYA KISASA KWA KIKUNDI CHA HUDUMA MAJUMBANI MKOANI MBEYA.
Mkurugenzi wa Mradi wa Imarisha na Kihukbe, Ptolemy Samweli, alisema walilazimika kuomba msaada wa vifaa hivyo baada ya kufanya utafiti kuhusu upatikanaji wa ajira za mafundi. Baadhi ya wanafunzi wakiwa mafunzoni Meneja mradi, Tuli Mtatiro Wak… Read more »
MWENYEKITI WAKAMATI YA AFYA KIJIJI CHA MALANGALI WILAYA YA CHUNYA AJIUZULU.
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE
WANAFUNZI 600 KUFUNDISHWA NA WAALIMU 4.
WANANCHI wa kijiji cha Lema kata ya Busale wilayani Kyela mkoani Mbeya wameilalamikia Idara ya elimu iliyochini ya Halmashauri ya wilaya hiyo kwakutosikiliza kilio chao cha kuwaletea waalimu katika shule yao ya msingi Lema. Wakizungumza na waandi… Read more »
ASKARI WANNE WAFIKISHWA MAHAKANI KWA KOSA LA MAUAJI
Askari wanne wa kikosi cha 44 KJ cha Jeshi la Wananchi kilichopo Mbalizi Mkoani Mbeya wamesomewa maelezo ya mashahidi 13 dhidi ya kesi ya mauaji ya raia inayowakabili katika mahakama ya wilaya ya Mbeya mbele ya Hakimu Mfawidhi Gilbert Ndeuruo. Akiso… Read more »
WATUHUMIWA WATANO WA UJAMBAZI MAHAKAMANI
SHAHIDI wa tatu katika Kesi inayowakabili Maaskari wawili na Raia watatu ya unyang’anyi wa kutumia Siraha, Pasupuret Sreedhar ambaye ni raia wa India na Mhanga wa tukio hilo ameiambia Mhakama jinsi washtakiwa walivyofanikiwa kuwateka na kuwapora mal… Read more »
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Paskalia Adrofu [37]mkazi wa kijiji cha Magamba kata ya Magamba wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya,amejifungua salama watoto watatu hivi karibuni.
Huyu ndiyo mwanamke aliyejifungua watoto watatu huko wilayani chunya mkoani mbeya. ...................................................................................................................................... Normal 0 fa… Read more »