hapo juu katika picha ni makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Busokelo Salome mwakalinga wakati akiongea na wananchi wa kata ya kandete. hapo juu katika picha ni mmoja wa wenyeviti wa vijiji wakati wakitoa maelezo j… Read more »
HALMASHAURI ya Busokelo, wilayani Rungwe mkoani Mbeya imesaini mkataba wa ujenzi wa kituo cha wakulima kinachotarajiwa kujengwa katika eneo la Kandete wilayani humo, utakaogharimu kiasi cha sh. milioni 194,370,000.

30Jun2014