GuidePedia

0







Baadhi ya staff wa Highlands fm katika kusherekea siku ya kuzaliwa ya moja kati ya wafanyakazi wa Highlands fm 92.7 ambaye anaendesha kipindi cha wakati wetu Tunu Lugombe na hapa ndo nyumbani kwake wakati sherehe inaanza.

Tunu Lugombe ndiyo aliyezaliwa siku kama ya jana aliyevaa miwa alipokuwa New City Pub toa neno la shukrani kwa wafanyakazi wenzake pamoja na wageni wengine.













Sherehe zikiendelea katika viwanja vya new city pub na hapo shampeni ikifunguliwa



                                 Tunu Lugombe akikata keki yake






FAMILIA 92.7mhz ya Mbeya Highlands fm imesherekea sikuku ya mfanyakazi mwenzao katika kampuni hiyo Tunu Lugombe ya siku ya kuzaliwa ambapo ilianzia nyumbani kwake kasha kumalizia katika viwa vya New City Pub .

Katika kusherekea sikukuu hiyo Tunu aesema anawashukuru wafanyakazi wenzake kwakujumuika nae pamoja na kufanikisha kwa shughuli hiyo kitendo ambacho amekiita cha uzalendo na mfano mzuri wa kuigwa na wafanyakazi wengine katika makampuni mbali mbali nchini.

Licha ya familia ya Highlands fm pia kulikuwa wageni wengine waalikwa kutoka sehemu mbali mbali waliungana na familia hiyo na kusherekea pamoja.
Aidha mama yake Tunu Bi, Joyce ameipongza familia ya Highlands fm kwa ushirikiano wao na wageni wengine na kuwataka waendelee na moyo huo wa kujitoa katika shughuli mbali mbali.

Amesema kufuati hali hiyo yeye amejisikia furaha sana kwakuwa ameona katika makampuni mengine wafanyakazi wake hawana ushirikiano hasa katka shghuli za sherehe

                                        Na, Lumemo blog

Post a Comment

 
Top