GuidePedia

0
                                            Geti kubwa la kuingilia Jimboni hapo limefungwa

     Baadhi ya waumini na wachungaji wakifunga geti hilo kwa ndani baada ya kumaliza kufunga kwa nje
Mchungaji Jamson Daud Mwiligumu ni mmoja na walioshiriki kufunga majengo hayo akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufunga ofisi hizo.
Mmoja kati ya waumini walioshiriki kufunga majengo hayo Christopher Ndingo akiongea na waandishi wa habari.
Gari lililoagizwa kwaajili ya kuhamisha vyombo vya mwenyekiti alietakiwa kuhama leo likishindwa kuingia ndani baada ya kufunga geti la kuingilia ndani

Kwa habari zaidi endeleo kutembelea blog hii tutaendelea kukujuza kwa undazi zaidi kinachoendelea katika kanisa hilo kwani kanisa hilo limekuwa linamgogoro wa muda mrefu ambapo mgogoro bhuo ulianza tangu mwaka jana mwezi wa saba 

Hivyo mpaka sasa haujapatiwa ufumbuzi wake licha ya kukaa vikao vingi mpaka kufikia serikali kuingilia kati kupitia mkuu wa wilaya ya mbeya mjini Dk Norman Sigala kwaajili ya kusuruhisha lakini bado muafaka haujapatikana.................usikose kuendelea kupitia mtanmdao huu ili kujua bmengi zaidi kuhusu mgogoro huo na unakoendelea.

                                   Na, Lumemo blog





Post a Comment

 
Top