GuidePedia

0






Naibu waziri wa maji na Mbunge wa jimbo la mvomero Mh, Amos Makala amezindua miradi ya maji miwili ilioko katika wilaya ya Mbeya, mmoja umejengwa katika kata ya tembela kijiji cha galijembe na mmoja umejengwa katika kata ya Igale na Shongo.

Aidha Makala ameahidi kupeleka shilingi milioni mia moja tisini na tano katika kata ya Iwindi wilaya ya Mbeya vijijini ikiwa fedha hizo anatarajia kutok  serikalini.

Kwa habari zaidi endelea kukutembelea mtandao huu na sikiliza 89.9 Generation fm katika kipindi cha Jambo leo kinachorushwa kuanzia saa 06:00 asubuhi mpaka saa 10:00 asubuhi na kipindi cha Mtazamo kinachorushwa kuanzia saa 16:00 jioni mpaka saa 18:00 jioni. Utaweza kuwasikiliza wananchi wakitoa kero zao na waziri huo.

                               Na, Lumemo Blog


Post a Comment

 
Top