GuidePedia

0
Young Killer ayatamani maisha ya ndoaYoung Killer anasema anajifunza maisha ya ndoa akiwa na umri mdogo kupitia uhusiano wake na Halimaty Adam aka Miss Hip Hop. Akipiga story na chanzo kimoja cha habari , rapper huyo amesema haoni kama ndoa inaweza kuwa ni kitu kigeni kwakuwa maisha yake na mpenzi wake huyo yanamuandaa vyema.
“Kwa mimi binafsi imenipa uzoefu sana kwamba hata kama nisipokuja kuishi naye huyu nikija kuishi na mwanamke tayari ntakuwa najua kabisa wanawake wako hivi,” amesema rapper huyo. “Inanipa experience ya kujiandaa kwa kila jambo mapema, yaani vitu vibaya tunavijua, vitu vizuri tunavijua.”

Post a Comment

 
Top