GuidePedia

0
                                     

KUNA MJI UNAUZWA UPO KATIKA KIJIJI CHA KONGOLO WILAYANI MBARALI NDANI YA MJI HUO KUNA NYUMBA YENYE VYUMBA VIWILI NA SEBULE PAMOJA NA JIKO.

MJI UPO KARIBU NA BARABARA IENDAYO RELI YA TAZARA KILOMITA CHACHE KWENDA BARABARA KUU YA LAMI INAYOTOKA MBEYA KWENDA DAR ES SALAAM.
PIA NYUMBA HIYO IKO KARIBU NA BOMBA LA MAJI, NA KUNASEHEMU YA KUENDELEZA UJENZI KADRI UTAKAVYO.

HIVYO KWA ALIYEKOSA KIWANJA  KATIKA BONDE LA USANGU WAKATI NDO HUU.

PIA KUNA SHAMBA LINAUZWA LINA UKUBWA WA EKARI MBILI NA NUSU SHAMBA HILO LIPO KATIKA KIJIJI CHA ITOGOTA KATA YA UTENGULE KILOMITA 6 TOKA KONGOLO KARIBU NA SHAMBA LA BW, MLENGA

SHAMBA LINAKUBALI MAZAO YOTE KAMA VILE MPUNGA, MAHINDI, MAHARAGE NK.
HALIITAJI MBOLEA KWANI KUNA MBOLEA YA MBOJI NA IMEVUNDA KWA MIAKA MIWILI NA KATIKA MIPAKA YOTE YA SHAMBA HILO IMEPANDWA MITI YA MBAO ZAIDI YA 5O NA MICHIKICHI KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA...

0754997014, 0768870122, 0755805241, 0754634320 NA 0754616914. HII SI YAKUKOSA WAHI LEO USINGOJE KESHO, MAANA BEI POA YA MAELEWANO.


Post a Comment

 
Top