Mtu mmoja dereva wa pikipiki (bodaboda) anayefahmika kwa jina
la Shija John Mwambenja ameuawa na watu
wasiyefahamika maeneo ya Iyela jijini Mbeya.
Taarifa zinasema kuwa marehemu siku ya jumanne usiku
alikodiwa na abiria kutoka katika kituo chake kuelekea maeneo ulikokutwa mwili
wake, hivyo siku ya jumatano marehemu akuonekana katika kituo chake cha kazi
ambapo anakopaki pikipiki yake.
Mwenyekiti wa chama cha madereva Bodaboda Vicent Mwashoma aliyevaa jaketi jekundu akihojiana na waandishi wa habari kuhusu tukio hilo pembezoni mwa lango la mochwari katika Hospital ya Rufaa jijini Mbeya.
Mwenyekiti wa chama cha madereva Bodaboda jiji Vicent Mwashoma akiwa karibu na lango kuu la mochwari katika Hospital hiyo.
Madereva Bodaboda pamoja na ndugu wa marehemu wakiwa katika Hospital ya Rufaa jijini Mbeya wakizubiri mwili wa marehemu kwaajili ya kwenda kuzika.
Ndugu msomaji wa Blog hii kwa habari zaidi kuhusu tukio hilo endelea kututembelea.
Na, Lumemo blog
Post a Comment
Post a Comment