Mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa Mbeya Allan Mwaigaga akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake. kuhusu ajali zinazoendelea kutokea hapa nchini.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa mbeya.
Madereva wa mkoani mbeya na Tanzani kwa ujumla wametakikiwa kuwa makini pindi wawapo barabarani hasa katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu ya chrismas na mwaka mpya na kuepukana na vitendo vya ulevi.
Mwaigaga amesema kwani kumekuwa na vitendo vya ulevi uilivyokithiri kwa madereva hasa kwa wakati huu wa sikuku.
kwa habari zaidi endelea kututembelea katika mtandao huu.
Post a Comment
Post a Comment