baadhi ya viongozi wa kamati hiyo pamoja na viongozi wengine wa kijiji wakiwa meza kuu katika mkutano huo. baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huo baadhi ya wajumbe wakionesha karatasi mbali mbali zinazohusu tuhuma hizo. Hii ni moja kati ya bil… Read more »
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
WATU WATATU WAFARIKI DUNIA BAADA YA GARI WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUACHA NJIA NA KUPINDUKA. WATU WATATU WAFARIKI DUNIA BAADA YA GARI WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUACHA NJIA NA KUPINDUKA HUKO KAT… Read more »
SANGOMA AFUKUNYUA VIPEMBEKUWASAKA WASHIRIKINA
IMEELEZWA kuwa kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kishirikina kwenye kitongoji cha Seko Kijiji cha Njisi kata ya Katumbasongwe Wilayani Kyela mkoani Mbeya wananchi wa kitongoji hicho wameuomba uongozi wa Serikali ya Kijiji kuwapa kibali cha kumwi… Read more »
MKE WA MTU AZAA NJE YA NDOA NA KUTUPA KICHANGA CHOONI IWAMBI MBEYA
Rukia Fungameza[20]mkazi wa mtaa wa Ilembo Kata ya Iwambi Anaetuhumiwa kutupa mtoto chooni Hii ndilo shimo la choo alimotumbukizwa mtoto huyo Wakina mama wakilia kwa uchungu Mwenyekiti wa mtaa huo Juma Mbuza mwenye Flana ya bluu akiwa na barozi k… Read more »
VIONGOZI WA SERIKALI WA KIJIJI CHA TOTOWE WILAYA YA CHUNYA MKOANI MBEYA WAMEHUMIWA NA WANANCHI WA KIJIJI HICHO KULA FEDHA ZAIDI YA MILION 36
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE