Mkaguzi mkuu wa Osha Tanzania bara Dr, Akwilina Kayumba na Meneja wa Osha kanda ya nyanda za juu kusi Eng, George Chali wakiwa studio za ...
WATOTO WAWILI KATI YA MAPACHA WANNE WAMEFARIKI DUNIA NA KUZIKWA HUKO KIJIJINI KWAO CHIWANDA WALAYA YA MOMBA MKOANI MBEYA..
Mchungaji wa Kanisa la Africa Mission Church wanakosali wazazi wa Marehemu akiongoza ibada ya Mazishi. baadhi ya Waombolezaji wa...
TATIZO LA UTUMIKISHWAJI KWA WATOTO WADOGO LIMEZIDI KUSHIKA KAZI WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA
UTUMIKISHWAJI wa watoto walio chini ya miaka 16 limeibuka wilayani Rungwe mkoani Mbeya baada ya wajasiliamali wanaojishughurisha na biashar...
WAKAZI WA MKOA WA MBEYA WAMETAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA ILIKUWABAINI WAHAMIAJI HARAMU WANAOINGIA KATIKA MKOA HUO.
Afisa uhamiaji Mkoa wa Mbeya Wilson Bambaganya akiwa studio za Radio bomba fm pamoja na mtangazaji wa kituo hicho na mwandishi wa haba...
TANGAZO........TANGAZO........TANGAZO.........TANGAZO
KUNA MJI UNAUZWA UPO KATIKA KIJIJI CHA KONGOLO WILAYANI MBARALI NDANI YA MJI HUO KUNA NYUMBA YENYE VYUMBA VIWILI NA SEBULE PAMOJA NA JIKO....
JESHI LA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI MKOANI MBEYA LIMELALAMIKIWA NA MADEREVA KWAKUWASUMBUA WAKIWA BARABARANI HATA KAMA HAWANA MAKOSA.
Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania[UWAMATA]kanda ya Mbeya wamelalamikia Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani na Mamlaka ya U...
KORTINI KWA KUJARIBU KUUA
KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Sura Mbaya Lutemashimba (32) mkazi wa kijiji cha Maji moto wilayani Mpanda mkoani Katavi amefikis...
WANANCHI WAFUNGA BARABARA YA MBEYA CHUNYA BAADA YA MWENZAO KUKAMATWA / MTUHUMIWA AKIMBIA NA PINGU ZA POLISI
Mkuu wa wilaya ya Chunya Deotatus Kinawiro akihutubia wananchi wa Chalangwa Mkuu wa wilaya ya Chunya Deotatus Kinawiro akipokea...
TANGAZO........TANGAZO......TANGAZO
KUNA MJI UNAUZWA UPO KATIKA KIJIJI CHA KONGOLO WILAYANI MBARALI NDANI YA MJI HUO KUNA NYUMBA YENYE V...
