Zaidi ya magari matano yamepata ajali eneo la Itende majira ya saa saba mchana ambapo magari hayo yalikuwa yakigongana mara baada ya gari la kwanza kupata ajali maeneo hayo
Kufuatia ajali hiyo kukasababisha foleni ya magari iliyoanzia kituo cha daladala cha nzovwe kuelekea mwanjelwa iliishia kituo cha daladala cha kadege na kuelekea mjini foleni iliishia kituo cha daladala cha mabatini
Foleni hiyo ya magari ilidumu takribani muda wa masaa manne mpaka ilipokuja gari linalonyanyua magari yaliyopata ajali ndipo magari mengine yakapata nafasi yakupita kuendelea na safari zake
Hali hiyo ilisababisha baadhi ya abiriawa daladala wanaoenda vituo jirani kutembea kwa miguu.
Ili kupata habari zaidi endelea kutembelea blog hii tutakuza zaidi.
Post a Comment
Post a Comment