Baadhi ya staff wa Highlands fm katika kusherekea siku ya kuzaliwa ya moja kati ya wafanyakazi wa Highlands fm 92.7 ambaye anaendesha kipindi cha wakati wetu Tunu Lugombe na hapa ndo nyumbani kwake wakati sherehe inaanza.
Tunu Lugombe ndiyo aliyezaliwa siku kama ya jana aliyevaa miwa alipokuwa New City Pub toa neno la shukrani kwa wafanyakazi wenzake pamoja na wageni wengine.
Sherehe zikiendelea katika viwanja vya new city pub na hapo shampeni ikifunguliwa
Tunu Lugombe akikata keki yake
FAMILIA 92.7mhz ya Mbeya Highlands fm imesherekea sikuku ya
mfanyakazi mwenzao katika kampuni hiyo Tunu Lugombe ya siku ya kuzaliwa ambapo
ilianzia nyumbani kwake kasha kumalizia katika viwa vya New City Pub .
Katika kusherekea sikukuu hiyo Tunu aesema anawashukuru
wafanyakazi wenzake kwakujumuika nae pamoja na kufanikisha kwa shughuli hiyo
kitendo ambacho amekiita cha uzalendo na mfano mzuri wa kuigwa na wafanyakazi
wengine katika makampuni mbali mbali nchini.
Licha ya familia ya Highlands fm pia kulikuwa wageni wengine
waalikwa kutoka sehemu mbali mbali waliungana na familia hiyo na kusherekea
pamoja.
Aidha mama yake Tunu Bi, Joyce ameipongza familia ya
Highlands fm kwa ushirikiano wao na wageni wengine na kuwataka waendelee na
moyo huo wa kujitoa katika shughuli mbali mbali.
Amesema kufuati hali hiyo yeye amejisikia furaha sana kwakuwa
ameona katika makampuni mengine wafanyakazi wake hawana ushirikiano hasa katka
shghuli za sherehe
Na,
Lumemo blog
Post a Comment
Post a Comment