Mratibu wa mafunzo Alphonce Sitima akihojiwa na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa mafunzo moja kati ya waandishi wa habari waliokuwa wakimuhoji ni pamoja na Thomson Mpanji wa Clouds Tv na Cluods Fm alieshika kamera.
Mratibu wa mafunzo akifanya maandalizi ya mafunzo katika ukumbi huo.
Wawezeshaji wa mafunzo wakijiandaa kutoa mafunzo hayo, wa juu anaitwa Groria Mafule ambae pia ni mwanasheria na wa chini ni Dorothy Mbilinyi akizungumzia masula ya jinsia.
Washiriki wa mafunzo wakisikiliza wawezeshaji wakiendelea na kutoa mafunzo hayo.
TGNP wakiendelea kutoa mafunzo ya umuhimu wa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kwa viongozi wa nyanja mbali mbali wakiwemo walemavu, mafunzo hayo yanafanyika tika ukumbi wa Malisho Uyole.
Kwa habari kamili endelea kututembelea katika mtandao huu.
Post a Comment
Post a Comment