Muwezeshaji wa mafunzo ya ufuatiliaji wa rasilimali za umma Lawrence Chuma
Washiriki wa
mafunzo kutoka ngazi mbali mbali pamoja na tasisi za kijamii wakimsikiliza kwa
umakini muwezeshaji alipokuwa akiwaelekeza baadhi ya mambo yatakavyokuwa mara
baada ya kuingia katika ukumbi wa mafunzo hayo.
Ili kujua taarifa
kamili ya mafunzo hayo ambapo leo ndio awamu ya pili imeanza endelea
kutufuatilia katika mtandao huu.
Na, Lumemo blog
Post a Comment
Post a Comment