Wawezeshaji Bi, Dorothy Mbilinyi wakihitimasha mafunzo hayo siku hiyo ya mwisho katika ukumbi huo wa malisho.
Wawezeshaji wa mafunzo na mratibu wa mafunzo wafanya majumuisho ya pamoja wakati wa kuhitimisha mafunzo.
Mratibu wa mafunzo Alphonce Stima akitoa maelekezo kuhusu utaratibu wa kufunga mafunzo hayo.
Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mafunzo hayo yaliyodumu kwa muda wa siku tatu katika ukumbi wa malishi uyole yalioanza tangu september 22 mwaka huu na leo ndio hitimisho lake.
Kwa habari kamili endelea kututembelea katika mtandao huu tutakuletea habari kamili (PICHA NA LUMEMO BOG)
Post a Comment
Post a Comment